Msito Uhunye amenijazz.. Amewaambia hao elected and nominated leaders kuna food na drinks,wajienjoy. Wakachangamka.
Akasema kuna facilitation ya fare ya kuwarudisha mashinani,wakacelebrate vinoma.
Then akasema lazima wasupport chama by contributing cash monthly... Minimum 3K upto 50K.
Give with one hand,take with the other. Brilliant. Hakuna cha bure!