Dibaji, hamjamboo wakurugenzi, viongozi, waheshimiwa, machifu, wadadisi, na wanakijiji wa utandawazi…
Nina ombi moja, mimi kama mkenya halisi anayekienzi kiswahili naomba ‘forum’ ya ‘Jukwaa la Kiswahili’ ianzishwe ili tuweze kubadilisha mawazo na nasaha.
Si tunaweza jikumbusha kiswahili, tone ya sheng pia iwe inakubalika.
Jukwaa lipo tayari kaka. Wanakijiji hapa wako mbele kwa uhakiki wa kiswahili. Tuliza papo hapo nitaangusha nakala kwenye ‘Kiswahili Endelevu’.Una mengi ya kujifunza.