Sirens incoming.. Well! Heavy GSU presence. Joseph Kangethe rd outta kibra, Kibra rd leading to jamu, kabarnet rd outta kibra all locked. Sijuu hiyo side ingine ..lakini sisi tuko poa
Hapa Gacharage Kiambu celebration watu wamejaa kwa Barabara, darama, karing'aring'a, vuvuzela, car horns. kuna club imelipwa stock yote ya 500k watuwaserereke.
Kisumu the same, kondele mawe kubwa kubwa kwa bara bara, helicopter everywhere. One must be a low life idler in order to go out and sacrifice his life for the sake of raila hahah