Kwa Nini Hajaomba Radhi kwa Uongo Huu?

https://www.youtube.com/watch?v=XVHoqB2E3tA

Muungwana asemapo jambo na kugundua kasema uongo huwa anaomba radhi. Lakini pia kama kama bado anao mpango wa kutekeleza lazima aeleze mkakati wake

Hmm!..

Atasema siyo yeye ni waziri Mpango

Tunaandaa maswali ya kumuhoji 2020 ili atueleze ni nini kilimsibu akashindwa kutekeleza ahadi yake! pia kuna 50m alizoahidi kwa kila kijiji!!

Alisema ya uchaguzi tuachane nayo.

ts just a matter of time

Endelea na moyo huo huo, upo kwenye lait track

Viongozi wa kiafrika huwa hawakubali kuhojiwa kwani wanayoyafanya sio lazima yawe vipaombele vya wananchi bali yale wanayoahidi wao. Kwa mfano rais wetu hawezi kukubali umuhoji kuhusu suala la ndege kwani sio kipaombele cha wananchi bali utashi wake. Mtu wa hivyo huwezi kumuhoji kwani anachofanya anajua faida na hasara yeye mwenyewe.

Duh!!!

Mkubwa hakosei…

Cc: @Mahondaw

Kuna yule mwanafunzi kipindi cha nyuma aliuliza swali unakumbuka yaliyomkuta? Huyu wa sasa ukiuliza tu roho nayo inaacha mwili

Huwajui wanasiasa wewe. Si ajabu akasema sicho nilichokimaanisha, mlinielewa vibaya!!

Ama kwa hakika waliosema “maneno hayajengi” hawakukosea…kama kuongea tu hata mimi saivi ningekuwa namiliki hoteli kumi za nyota 5

Mzee alijitutumua sana mbwembwe nyingi utekelezaji 0.

Hizo zilikuwa ahadi bila kujua hazina Kuna hali gani
Kumbuka picha la watumishi hewa linaanzia baada ya kujua ukweli wa hazina

Wanasiasa sifa zao zinafanana, ila kwa huyu ni zaidi ya mwanasiasa kabisa, bora hata angekuwa mwanasiasa angekubali kukosolewa hata kama asingetenda kile alichoahidi

Ashasahau, tumkumbushe

Ukubwa dawa Sasa Sijui Ni ipi

Labda ccm waliambiwa kuwa wasipoongopa wataugua na mwishowe kufa kabisa.

zee la majigambo