Ladies never suprise your man.We hate it

#1
As we all know men we hate suprices ..ata dam kukufanyia kitu in secret ati nikuwa romantic...Iyo upuzi ya soap opera musituletee ..kwanza mzoga kukuja unannounced.

here are few instances nimekuwa na hii shida ya mabinti

senario A...
ni ile heka nilipeana girlfriend kutoka maseno birthday yangu akanipataa na import ya embu..

senario B...
kuna mzoga nilikuwa nakula slice sikuwai taka ajuwe my workplace..sasa siku moja ilipop kazini bila notice,halafu alikuwa amebeba packed lunch,sasa kufika l was with clients apo,then nyangau inaingia imeshout babe l had to see you today...halafu kulikuwa na over 10 pple...anainsist kukuja all the way pale niko kunihug...nikaplay along. nikamshow saa hii niko held up na clients...naye anaongea na sauti ya juu l just brought you lunch..nikajibu thank you...halafu nyangau inaendelea kufunguanisha food ati l taste it....some pple are just wierd ..nikamshow hebu chill nimalize na hawa client...dame akatoka kiasi after 25 minz si unajuwa shop ya movie vile watu hawaishangi..dame akarudi akiwa kwa mlango babee lemmie go am coming back...l need a hug

l was like this bitch crazy na apo ndio kula slice niliwacha

senario C ...
kuna hii mzoga ingine...alikuwa anakuja kejani...she was an ok chic,l liked her hakuwa na drama...she was perfect but l was wrong...
siku moja she came..tunachapaa whisky movie na slice..sparta nikalala,nilikuwa na muwacha kejani anafunga nikiarauka job...
sasa mimi nika amshwa na call ya clients chap chap nikajiprepare nikarush job.. kumbe usiku this mzoga alinipakaa makucha za mikono na miguu cutex(ile munapakangaa)..kwanza ilikuwa ile color ya silver bold...:( nilishangaa hii rangi nimetoa wapi...najaribu kuscratch haitoki. .sasa u can imagine nilienda job na cutex looking like a g** wanna be....kupigia mzoga simu inacheka and thought it was funny...iyo sense of humor sikuiget...

sasa embarassment ilikuwa kuenda kubuy Remover :(
 
kurutu

Senior Villager
#7

hapo kwa g** tunajua na unajua wewe ni g**,mpaka kuuza g** porn
 
#14
hehehe bado kuna ule mzoga alichapa Whisky akachapa Keiyo kwa choo
Na kumbuka wale walifanya ukarushwa ndani na ma Gova, hii watu tamalisa wewe, pia nawe si we ni DramaKing, hata @culture hakufikii hapo
uyo mzoga alikunywa whisky akakojoa kwa kitanda.kuamka napataa bed iko wet..nikadhani ni mimi nimekojoa...lakini kuguza makei yangu naona sio wet niko wet side moja...nikasema kama ni dame kukojoa haina noma....napataa mzoga imeketi kwa carpet na haiongei ....halafu nikachapwa na kaharufu....mzoga yani imejikunia na imekalia mavi...na haiongei na tu make things worse ilikuwa import bana.... nikuivuruta iende bafu na ifuwe bedsheets na kusafisha carpet..na nikabook gari yake kurudi kwao...keja ilinuka shonde for a week...carpet nikapea caretaker :(
 
#16

:D:D:D:D:D:D:D
 
Ubongo

Village Sponsor
#17

You are mad, Mzoga imejikunia. hehehehe, ulipigwa na butwaa
 
P

pseudonym

Guest
#19
uyo mzoga alikunywa whisky akakojoa kwa kitanda.kuamka napataa bed iko wet..nikadhani ni mimi nimekojoa...lakini kuguza makei yangu naona sio wet niko wet side moja...nikasema kama ni dame kukojoa haina noma....napataa mzoga imeketi kwa carpet na haiongei ....halafu nikachapwa na kaharufu....mzoga yani imejikunia na imekalia mavi...na haiongei na tu make things worse ilikuwa import bana.... nikuivuruta iende bafu na ifuwe bedsheets na kusafisha carpet..na nikabook gari yake kurudi kwao...keja ilinuka shonde for a week...carpet nikapea caretaker :(
Ngai! I am dead! :D:D:D:D
Where do you get these gals...your taste in women is very horrible!!!
 
Hydra

Village Elder
#20
uyo mzoga alikunywa whisky akakojoa kwa kitanda.kuamka napataa bed iko wet..nikadhani ni mimi nimekojoa...lakini kuguza makei yangu naona sio wet niko wet side moja...nikasema kama ni dame kukojoa haina noma....napataa mzoga imeketi kwa carpet na haiongei ....halafu nikachapwa na kaharufu....mzoga yani imejikunia na imekalia mavi...na haiongei na tu make things worse ilikuwa import bana.... nikuivuruta iende bafu na ifuwe bedsheets na kusafisha carpet..na nikabook gari yake kurudi kwao...keja ilinuka shonde for a week...carpet nikapea caretaker :(
msedes yako nayo haikuwa na meffi? uliangalia poa?
 
Top