Arsenal imeingilia wapi mbosss mimi ni mtu ya FEYENOORD , nimesema wenger sijasema Arsenal , Wenger inspires me though am a Feyenoord fan .:D:D:D:D:D:D:D
Hii Man U ni moto ya makaratasi tu, kushindwa ata sio issue ni venye wameshindwa, tactics mbovu alafu hawana drive, ungedhania Feyernoord ni Barcelona :D:D
Uzuri yenu within a few days hiyo maringo itarudi chini where it belongs when hiyo team ndogo arsenal ikicheza. Mnasikia watu wa “feyenoord” I didn’t even know how to spell that name until now lakini hapa leo wewe ni life fan wa hii team!! maajabu ya mungu.
He is a winner and doesn’t think with emotions. He played Pogba today despite his mistakes in the Derby and he played well. Hii stress tunamalizia Premiership weekend where it matters the most.
mimi nilisema marejects kama Darmian na Roho wasiwai cheza game ya Man U tena. This fuckers ata hawawezi attack kama shaw na Valencia. Unaona Rashford solo na defenders wanne. Hapa ndipo Rooney huokolea. Hapendi kukaa bila ball.