masaibu ya mtu singleton

Status
Not open for further replies.

agik

Village Elder
#1
Sasa jana ndio mimi huyo nimeenda huko jobless corner kupunga hewa na kuunwind after a long week of working hard. Tunakaa tu tunapiga stori, time wasting time wasting hivi hivi. Stori ata hazina maana tukikunywanga zile vitu mtutho anashindaga ametukataza, ManU asenal, nini nini, building castles in the air, vile mtu anaeza fanya akipata doo - imaginary . Tunaweka balls juu ya meza, tunazigonga zinaingia kwa shimo, tunazitoa kwa shimo tunazigonga tena, zinaingia kwa shimo tena, more and more time wasting. Ikafika time kila mtu ametosheka na time wasting, tukaenda kila mtu kwake/kwao. Kufika kwa nyumba naingia kwa net kitu ya kwanza, kuvizit masite zingine za kenya watu wanaongea hekaya hekaya hivi hivi. Hakuna stori ya maaana, even worse time wasting. Nikaingia movies, scorpion season 1b, series yenyewe iko poa, at least something worthwhile ya kufanya. Movie imebamba, movie movie movie hadi saa saba usiku kanjaa kakaanza kuingia. Nikasema wacha nifix kameal haraka haraka. Nimeunda kila kitu, nimekatakata vitunguu nyanya nini nini, naenda kuwasha gas, maze hakuna kibiriti. Yaani dish iko, mafuta iko, gas iko, but nalala njaa juu ya kibiriti. Nikakumbuka leo ni sato pub hufunguliwa 24/7. Kukimbia kwa kalocal nibuy kibiriti, imefungwa (ala! kwani pub hufungwa sato siku hizi) Nikafikiria, nitafute sticks mbili nizirub mbaka zitoe moto (watching too much of bear grylls), aah hiyo haiwesmake. Kidogo nikacheki msee anachoma fegi. Light bulb moment, nikamwomba fegi - I dont smoke, ok I smoke once once but I'm not a smoker. Akaniwai fegi na akawasha. Mimi huyo na fegi hadi nyumbani. Chukua gazeti ndio huwa inawaka haraka, nikapulizia mbaka ikawaka. Saa hiyo ni kitu saa nane ya usiku ndio nafix supper/late night lunch/early breakfast. Wallai nikipata job kitu ya kwanza natafuta bibi

Sasa wacha nifanye some more constructive work. While you figure out vile utarecover the time you've wasted reading this buchiet
 
#3

:D:D:D

Pia hii story ya kuwekelea balls juu ya meza na kuzigongagonga...
 
L

Luther12

Guest
#4

Good one! :D :D
 
L

Luther12

Guest
#11
In future, buy your matchboxes in bulk lakini. There's the pack that contains 10-12 matchboxes.:)
 
agik

Village Elder
#15
That's impractical in 2015

@agik great narration

swali moja ungemwomba kibiriti/lighter instead ya fegi ama alikuwa na moja?
I could have, but then sikutaka stori mob kuanza kuexplain why I was out at this ungodly hour looking for kibiriti. I probably should have done that. But you know, hindsight is 20/20
 
Last edited:

shocks

Village Sponsor
#19
In future, buy your matchboxes in bulk lakini. There's the pack that contains 10-12 matchboxes.:)
mimi hubuy hizo na hata hizo huisha, kwanza ni worse coz. you think kuna ingine kwa kabati when the pack your using is running low. Hii shit ni so funny coz. it has happened to me too. uzuri mlevi flani neighbour alipitia kwa hao kuniuliza leo mpango wapi akaniwai yake na juu ya kunisaidia nare akakaa akakula nyama ilikuwa supposed kuwa ya next bday lunch. but haina ngori
 
Status
Not open for further replies.

Top