[ATTACH=full]120969[/ATTACH] Now there is this Peasant kwa kijiji anaitwa Alekii. Msee ameanza kuishi kwake baada ya kukwamilia kwao kwa miaka zaidi ya ishirini. Sasa hana meza na gas anapikia iko karibu na mattress yake. Swali ni je, mattress ikishika moto.
NB: I was bored just like you. Nkicheki kazi hakuna kwa ile website Inakaa ka Iwriter. Nkicheki kijiji hamna cha maana. Nkamua kupost ufala nkitegea mafala warespond.
Wacha ninywe kahawa tamu na hafukeki (ngumu)
[ATTACH=full]120970[/ATTACH]
Notebook ni ya vitu mob…am your typical 20-year old something kenyan… As such, notebook ni ya kuarrange to-do list ya kesho, kuandika mabets, budgeting na kadhalika
Eti nisubiri mpaka 28th…mi ni peasant but najilipa kila week baada ya kung’ang’ana na Iwriter, na sites zingine mob…#mgaagaa na upwa hali wali mkavu
congratulations man…That’s one small step for a you, one giant leap for your future… That’s how most of us started… You just reminded me the many months I slept on a matress on the floor, and in a single room before I could even afford a bed…