mbona huku hakuna love connect?

wale masingle tunapataje wenza huku wakuu?

Subiri waje.

Andika bango lako popote tuu

Nenda Sex and relationship

Popote tu unatupia tangazo

Miss bado una tafuta!!?

Mi mwenyewe natafuta mchepuko…ila sijui jukwaa la kuweka:D:D

PM inajaa sasa hivi…

.mmmh

Upo ukimbizini bado unadai maziwa na asali

Ukimbizini kwa baba mdogo!! Huku Kenya madam Wao wababe sana eti. Na wanaweza ukutongoza tu, bila huruma na nini!!!

Nipo hapa kama unataka mchepuko damu changa INA chemkaaaa

Kambi popote

Ndio sijapata

Aisee…

Hahah!!

Acha nicheke kwa herufi tu maana cheko la emoj lina rangi ya chama

Watafute FB

Na tutaijaza kweli

Shem upooo

Nakuona nakuona

Nakuona village elder…za uzima?