mitumba clothes

maze kuna huyu meno brown amelipa loan ya 500k kwa 100k monthly installments from buying and reselling mitumba na nashangaa kwani hayo ni mapepo!
si ata mi nifungue iyo bizz…
matycoon waongee

with 200k what can i do

Wrong move, usifungue biashara juu umeona mwenzako amefanikiwa,

16 Likes

Niaje impaster.

ni hivo

3 Likes

Wewe ni bank teller?

1 Like

we amua

Kuna moja niliona somewhere inaitwa Think Twice inauza second hand clothes, shoes etc.
First week 400/- all stuff, then second week ni 300/- then third week 200/- on and on mpka 100/- ambapo they clear up all the stuff.
Wanaanza cycle tena. Its kinda boutique. I think thats what she is eyeing

4 Likes

Wewe endelea kuchungia wanaume pesa hapo kwa bank ukiwa umevaa tusuti

12 Likes

Zimmerman/Githurai?

vile umeambiwa

3 Likes

3 of my aunts work in gikomba they sell women cloths, they open mmaximum of 10 bales each every day… by 11 am kazi inakuanga imeisha.i can assure most ppl here cannot make the kind of cash they make.

12 Likes

preach

Gikomba Kuna pesa

1 Like

kuna moja hapo bee centre roundabout, on your way to kayole.

2 Likes

Bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi :rolleyes::rolleyes:

Basi ziko mingi. Ata zimma nimewai ona sometime back.

1 Like

Hata Githurai fote fae karibu na Naivas kuna hiyo Think Twice, huyo jamaa I think ana branches kadhaa. Kwanza hiyo ya Zimma is always bustling with customers every time I pass by. I think mwenyewe ni birrionaire.

3 Likes

Ingia cadet

but soonest Gikomba will RIP. nowadays guys are getting those new fresh clothes that are made in Kenya. zile Za Epz meant for export. there is some place selling them for 450 per kilo. ata mimi Sijawai skia nguo zikiuzwa kwa kilo .

1 Like