OldMonkey Watu Wa Kwenyu Si Wazuri...

Status
Not open for further replies.

mayekeke

Village Elder
#1
I decide to sleep over in Naivasha, nikiamka asubuhi, Kamau na Njoroge broken into my car last night..... Halafu hawavunji dirisha,wanaing'oa haswa.... Who even does that?? They pluck out my windshield na hile kitu wameiba ni leather jacket pekee.... Watu wengine ni ma-Ngwethe kabisa!! I had to drive all the way from Naivasha hadi Westlands bila a windshield,nimepigwa na baridi kama dogi.

IMG_20150515_141400.jpg IMAG3693.jpg IMAG3694.jpg
 
Last edited:

DI TICHA

Village Elder
#6
I decide to sleep over in Naivasha, nikiamka asubuhi, Kamau na Njoroge broken into my car last night..... Halafu hawavunji dirisha,wanaing'oa haswa.... Who even does that?? They pluck out my windshield na hile kitu wameiba ni leather jacket pekee.... Watu wengine ni ma-Ngwethe kabisa!! I had to drive all the way from Naivasha hadi Westlands bila a windshield,nimepigwa na baridi kama dogi.

View attachment 5423 View attachment 5426 View attachment 5427
KABLA TWENDE KWA WENGINE WACHA KWANZA TUANZA NA SHIDA ZAKO................................
1. Katika utunzi wako wa sentensi...naona mixup mahali....kwa kimombo hatusemi "Kamau na Njoroge broken into my car", Tunasema "Kamau na Njoroge broke into my car"...yaani bro..oooooooo....k.....OK!!!!
2. Unatuuliza "who even does that" na wewe ndo umetoka kutuambia hapo juu.....Kamau na Njoroge.........sasa sisi tusemeje na uko na suspects already.........
3. Hatusemi "Hile"...tunaseme "ILE".........iiiiiiiiiii.....OK!!
4.Wameibaa Leather Jacket Pekee....Sasa wangeiba Gari ungepata energy ya kudraft hii storo yako????? Swali tu......
5.Venye umeweka Picha ya gari bila winshield,......Weka pia ya vile umepigwa na baridi ka Dogi na u explain Dogi hupigwa aje na baridi........na effects huwa nini....kama vile Dogi hulia ama huwa inapata homa......
Ni hayo tu kwa sasa.........
 
DI TICHA

Village Elder
#11
Wajinga kabisa hao....Ubaya kutumia akili kama helmet.

Tuliza Kende... Wangeliiba gari ni faida kwangu 30% profit.
Hehehehehe.......Kumbe pia wewe ni accomplice ki-plani.....???? So complain yako ni wameiba Leather Jacket badala wavuke na Gari yote??????? Aaaaahhhh...kama ni hivyo nakuunga mkono kapiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........sa....But ujue utaburn kwa shetani coz ya hiyo thought......
 
Bus

Village Elder
#12
I decide to sleep over in Naivasha, nikiamka asubuhi, Kamau na Njoroge broken into my car last night..... Halafu hawavunji dirisha,wanaing'oa haswa.... Who even does that?? They pluck out my windshield na hile kitu wameiba ni leather jacket pekee.... Watu wengine ni ma-Ngwethe kabisa!! I had to drive all the way from Naivasha hadi Westlands bila a windshield,nimepigwa na baridi kama dogi.

View attachment 5423 View attachment 5426 View attachment 5427
Si hio windscreen ni pesa pia. Ama hawakubeba. And then again, windscreen imewekwa kiholelaholela, making it easy to pluck.
 
gashwin

Village Chief
#17
HAWA WASAPERE WANAEZA IBA HATA RANGI YA GARI WAIACHE BILA RANGI,,,,,,,,,,,,,,, BUT SI WANGEFUNGUA BONNET WAIBE BATTERY
kuliko wale wa tongaren waliibia jogoo imondo wakaacha haina kitu cha kusiagia mahindi? Halafu wakakulia hiyo imondo moja ukali wanaume watano, eish!
 
john_doe

Village Elder
#18
Iza budah, i can imagine vile shock ilikupiga ukashangaa kama ni veve imeshika excess ama ni vitu zako tu unaona, those thieves were looking for a quick fix pengine ni walevi ama drug addicts.
 
Status
Not open for further replies.

Top