Pale unapodhani umewakomoa Watu kumbe ndiyo umejikomoa mwenyewe vilivyo!

[FONT=courier new]Shujaa wa kweli huwa haogopi vifuatavyo:
[/FONT]
[INDENT][FONT=courier new]Kukosolewa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kushauriwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kusemwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kudhihakiwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kutukanwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kujadiliwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new]Kusanifiwa[/FONT][/INDENT]
[INDENT][FONT=courier new][/FONT][/INDENT]
[FONT=courier new]Kweli sasa nimeamini kwamba kumpiga ’ teke ’ Chura ni kumuongezea mwendo wake na sasa huku ndiyo tutatiririka na kuserereka vizuri hadi mnune na mpasuke ’ misamba ’ yenu.

Ahsanteni sana Wakenya na hii Kenya Talk yenu.[/FONT]

[FONT=courier new]Nawasilisha.[/FONT]

Imetulazimu kukimbilia ugenini

but we have to be careful huku sio km jf privacy yako inalindwa huku wakihitaji wanazipata

[FONT=courier new]Hakuna namna na Vita huwa inapambaniwa kokote kule ili mradi tu muwe na uhakika wa Kushinda.[/FONT]

[FONT=courier new]Aliyekuambia nimeingia huku ’ Kichwa Kichwa ’ kwa details zangu kamili nani Mkuu? Tuna akili kama walizonazo Wao na pengine huenda zetu zikawa zimezidi walizonazo.[/FONT]

No matter our differences Nairobi is our second home

Haya, tuanzie hapo juu kijina umejipachika. Ni gentamicin. Gentamycine kitu gani?

[FONT=courier new]Na ukizingatia Sisi wote ni wana Afrika ya Mashariki hivyo wala hatujapotea kuwa sambamba na Wakenya.[/FONT]

okay sawa it is jus kukumbushana tu my bro

Magufudhi must be stopped.

[FONT=courier new]Acha ’ Upopoma ’ Mkuu na usitake hasira zangu nilizonazo kwa TCRA kwa kutuondolea ’ uhondo ’ wetu wa JamiiForums niuhamishie Kwako sawa? Sijabadilika na Mimi ni yule yule tena huenda huku sasa ndiyo nikawa ’ moto chini ’ zaidi ya kule.

ID yangu hivyo unavyoiona ndivyo inavyoandikwa na Mimi napenda iwe hivyo hivyo. Hata katika Social Media accounts zangu zote za Facebook, Instagram na Twitter ipo hivyo hivyo ila kule nimeliongezea jina langu lingine la ’ Antibioutique '.

Huyu ndiyo GENTAMYCINE Mkuu.

Jadili mada / uzi acha kusumbuka na kuhangaika na ID yangu kwani itakutesa bure![/FONT]

@GENTAMYCINE karibu sana…umemwacha wapi @mshana Jr?

Nakumbuka hata Mandela aliishi Tz kipind anatafuta uhuru wa South Africa so Mapambano popote, La msing ni ku fight to see the next battle.

[FONT=courier new]Fundi anakumbushwa?[/FONT]

[FONT=courier new]Bado ’ anaroga ’ akimaliza atakuja huku Mkuu. Vuta subira![/FONT]

Karibu mkuu

Sure Mkuu…our nation has played a wrong tactical move which shall cost them dearly,now the dogs are left freely .
By the way, Greetings Genta

[FONT=courier new]Shujaa wa kweli huwa haogopi vifuatavyo:

Kukosolewa
Kushauriwa
Kusemwa
Kudhihakiwa
Kutukanwa
Kujadiliwa
Kusanifiwa

Kweli sasa nimeamini kwamba kumpiga ’ teke ’ Chura ni kumuongezea mwendo wake na sasa huku ndiyo tutatiririka na kuserereka vizuri hadi mnune na mpasuke ’ misamba ’ yenu.

Ahsanteni sana Wakenya na hii Kenya Talk yenu na niseme tu kwamba Shikamoo Teknolojia.

Nawasilisha.[/FONT]

[FONT=courier new]Barida na nimeshakaribia Mkuu. Na huku nadhani sasa ndiyo ’ watatukoma ’ kudadadeki zao![/FONT]

Who is your Bro?