Picture worth a thousand and one words ..

Mnalia mercury kwa sukari, how about this ?which moral person can do such a thing to public? Wapi overseeing health officials ?

[ATTACH=full]183893[/ATTACH]

https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRmv_hEMsmrlKk9tYwckGrtiXU3qu8aJnWpkr3LzOZ5F1Uy4ue3
https://encrypted-tbn0.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcSmJhvp0ERM-fWtVlwQv-ZD6s-M4dh32-eUqtoBTHVnStD_l6atnw

Hawa ni akina “Njoro” na “Kinuthia” wa pale karibu na Kamakis.

Mbesha ni mbesha

Aaai

Boss, this is not new if you have live in nairobi you have probably consumed some of this foods.

Tuta-boil na 101% degree germs zikufe and life goes on…

Hapa ni wapi? Hii ni chakula ya watu ama ya wnayama.

People will do anything to make a quick buck at others expense. Mahali tunaenda sijui tuta saidika aje, Jana…

PUBLIC health officers in Juja arrest unscrupulous business people who slaughter chickens under poor conditions and sell them in Nairobi without inspection.

[ATTACH=full]183912[/ATTACH]

Jehova …eeeeeish. God keeps us alive. This is terrible.

Ukitaka sukuma mzuri chagua ile imeliwa na wadudu iko na mashimo.Hapana chagua ile inatoshana na masikio ya ndovu.

I am gagging…now when I think about the nyamchom we order from Sigona and it comes in black bins I feel sick. When I think about the tilapia we pigia simu a certain Mama at Kenyatta Market…I feel sick. Sasa wacha nikonde nikikuja.

I recall eating some chicken that really tasted like fish…Mum told me who owned the place. Nilikufa nikafufuka.

fixed.

Greed

Greed

Greed starts at the top, all the way down. But then, if the county government was on top of it’s game, cleaner water would be flowing down that stream.

:D:D I think Kenyans have very adaptive alimentary canals. They eat these and life goes on unperturbed

tule tukahawa tunatembezwa asubui ama usiku kwa shuttle stage tunapikwa na ii maji

shida hata sio hio sewage per se ,P2 ile imemezwa na wasichana ndio imejaa kwa maji

no wonder men these days are firing blank bullets juu pia wao wanameza hivo P2s

Kuwa ndege kama mimi, nimezoea maharagwe ,ndengu ,njahi, kamande etc

Kamande to me means something different. Hizo zingine I can deal with.