It's real out here my nigga. Kuna mpesa nilienda, tu-slay queen tukaingia alafu tukasema ni kuwithdraw, mzae wa hapo akasema sawa. Kumbe tufala tumetumia sijui ni sponsor agent number alafu akawithdraw akiwa kedo 10 kilometres away. Wueh, wacha mzae agundue, ali-reverse hiyo transaction teke teke, huku akisomea hao wachichana vile wamemkosea. At some point karibu alie akiwa-explain-ia vile mpesa yake inaeza fungwa.
Nikajiambia kumbe si kanjo na music copyright society pekee zinaogopwa na wafanyi biashara.