Some courage for the week - nice work

thesavage

Village Elder
#8
What a cowardly stance. That's why impunity thrives so easily in Kenya. There is no law in Kenya that allows that traffic situation.
Mi najichunga bana. I value my life sijamaliza kulea. Kama ni mzito anapita ako na siren, nitampisha tu. Na nkimfungia most likely hawatabishana but why take the risk?

Ambulance? Kabisa. Mpaka akikuja oncoming natoka barabara napita kwa mtaro if I am driving an offroad. Kama niko na merc na kuna shoulder pia natoka kwa barabara roho safi.
 

thesavage

Village Elder
#14
Its a pity we have the likes of you in our midst.Watch that video again,enda uweke yako sirens pia tuone kama utapewa njia as you wish coz that is what you want to imply.
Usiweke gari lako siren. Utashikwa. In fact, usiingie kwa msafara ambao uko na gari liko na siren kama haujaalikwa. But if you have a heavy car, you can try. Sio vitz. Kuna pecking order.
 
Last edited:

thesavage

Village Elder
#18
-presidential escort
-fire/ambulance vehicles
-police cars on emergency call - hii ya kutoa wakubwa kwa jam ni ujinga... a lone police car with sirens i will give way, lakini hizi ghasia zingine hapana tambua
What qualifies as a police car utashangaa sana. Hilo genge hapo unaona limejaa polisi tu na hujui.
 

thesavage

Village Elder
#20
I hope those concerned will issue a statement about this,You guys are not even seeing the hoodrats are on the wrongside.Where do the law says that they should use wrong side when they wake up late to get to the office
Kwanza huyo ni nani alikuwa anapita? Mi sijui.
1. Hapa nrb matiangi amekuwa akikutana cabinet hoteli gani, siku gani, saa ngapi?
2. Huwa amefika hapo saa ngapi?
3. Brkfast imekuwa ikiandaliwa saa ngapi na walianza saa ngapi?
Na hakuna kuchelewa, Gatheca mwenyewe kusema.
Si hiyo schedule ni ya mtu kuamka saa kumi my fren?
 

Top