Tanzania: Benki ya Dunia imeonesha dhamira ya kuisaidia Tanzania katika ujenzi wa Reli ya Kiwango cha Kimataifa(SGR) kutoka Isaka kwenda Rusumo

Benki ya Dunia imeonesha dhamira ya kuisaidia Tanzania katika ujenzi wa Reli ya Kiwango cha Kimataifa(SGR) kutoka Isaka kwenda Rusumo na baadae Kigali Hayo yalisemwa na Waziri wa Fedha Dkt.Philip IMpango wakati wa majadiliano na wataalamu wa Benki ya Dunia

[ATTACH=full]167257[/ATTACH]

Ujumbe wa Tanzania (kulia) na ujumbe wa Benki ya Dunia (kushoto) wakiwa katika majadiliano ya miradi ya maendelea inayotarajiwa kuanza kutekelezwa mwaka ujao wa fedha.

[MEDIA=twitter]987670310639071233[/MEDIA]

[MEDIA=twitter]987674900285575168[/MEDIA]

Yaani bado mnaomba pesa hadi leo? Tangu 2016?! Yaani hamjawai anza hii project? Why not just abandon this adventure, I mean do you guys really need an sgr anyway?

And world Bank is a shitty creditor, a decade can easily pass as you wait for funds

I thought you told us that you can finance the project with your own revenue? what happened?

Hahahahaha!! Wakenya mnawivu sana hamuitakii mema TZ. Nimeshawaelewa sasa. Mnatuchukia sana. Watanzania maana mnajua tunawanyang’anya vingi

Huu ndio ujinga wako sasa…umeulizwa maswali unarudi na majibu ya kitoto. If you cannot engage in mature responses just get back to your local kijiwe and discuss simba yanga issues

Hahahahahaha!! Acha wivu wa kitoto wewe. Ujenzo ni kutoka Isaka(Shinyanga) kwenda Rwanda.
Dar - Dodoma tumeshalipia sisi cash
Check Ramani hapa

[ATTACH=full]167285[/ATTACH]

huko jamii forum they brag how wanajenga na pesa yao when day in day out ni kuomba omba from all and any organization that will help them out…

hahahahahaha!! Mtakoma. Tunajinga sisi halafu mnaumia nyie. Huoni kuwa nyie wakenya mnawivu wa kijinga.

Mna picha za ujenzi wowote Wa SGR ama picha ni za mijadiliano tu?

Tembelea hapa youtube.com [SIZE=7]TRC RELI TV[/SIZE]

Check hapa;

https://www.youtube.com/watch?v=BZm4aYcxNpU

My friend we are not joking. We are serious. Nyie endeleeni tu kutucheka mtaona matokeo baadae. Hata wakati tunapinga ukabila mlikuwa mnatucheka

Lakini si Magufuli alisema Tanzania itajenga reli na pesa zao wenyewe?

Mulimaliza kujenga helicopter? Jee ndege mpya iliyo naswa kwa ajili ya madeni mumeinusuru?

Wakenya kwanini mnaumia sana na issue za Tanzania? Soma hapa utapata taarifa. Ndege hiyo inapiga kazi kama kawaida.

https://globalpublishers.co.tz/live-rais-magufuli-akipokea-bombadier-mpya-uwanja-wa-ndege-dar

Hamna haja kusoma kwani ni ndege mpya tena tofauti na ninayoulizia. Sio ile iliyomo Canada.

Nawapenda sana Wabongo hasaa kunguru. Ni uongozi wenu wa kiimla tunaokashifu.

Hakuna ndege iliyokamatwa ndege zote zilizobaki zinafika mwezi wa saba. Acha mchecheto tunakuja kwa kasi.
[ul]
[li] CS 300 zipo mbili[/li][li]boeing 787-8 dreamliner ipo moja[/li][/ul]

[ATTACH=full]167306[/ATTACH]

[ATTACH=full]167307[/ATTACH]

Tanzania is a man eat nothing sosayati…thread closed

I thought wivu is showing an envious resentment of someone or their achievements, possessions, or perceived advantages…that said what have you guys achieved that we havent for us kenyans to resent.On the contrary you guys suffer from that kafeeling…kenyans wish you all well though no one gets far by comparing themselves to others.