Dismiss Notice
You cannot view some content because you are browsing this site as a Guest. CREATE AN ACCOUNT to enjoy access to all content.
 1. _Iramba

  _Iramba Villager

  Mada tajwa ya husika!
  Tunaomba jukwaa hili!
  Ili tujuzane mambo ya kisheria!
  Ebu pitieni hii forum ya Kibongo mjifunze zaidi!
  Mods:thanks in advance!
  https://www.jamiiforums.com/
   
  Motochini likes this.
 2. xuma

  xuma Village Elder

  Wabongo watatufunza nini kipya?
   
  Last edited: Feb 28, 2017
  _Iramba, Jazzman, mukuna and 2 others like this.
 3. Okwonkwo

  Okwonkwo Village Sponsor

 4. _Iramba

  _Iramba Villager

  @xuma yapo mengi,ebu ingia humo ujionee
   
 5. _Iramba

  _Iramba Villager

  @Okwonko nishaketi
   
 6. Motochini

  Motochini Villager

  Dharau ni tatizo la wakenya
  ndio maana Forum hii inaboa
   
 7. Antonio Mascaro

  Antonio Mascaro Village Elder

  Hamna lolote wabongo. Kiswahili tu.
   
 8. kah tony

  kah tony Village Elder

  Wabongo tunawajua. Mna kitu inaitwa inferiority complex. Hiyo ndio taabu, hatuna dharau.
   
 9. Motochini

  Motochini Villager

  Wanaijeria hulaumu wakenya kwa madharau Misifa kuliko taifa lolote Africa,
  Hampendi kupingwa Mnaona ninyi ndio kila kitu na chochote mfanyacho nisahihi!!
  Mnachuki sana nyie watu,
  inapelekea watu wanje ya kenya kushindwa kuendelea na Mijadala ktk forum zenu
   
 10. Motochini

  Motochini Villager

  Hatuna lolote!!
  Mnawezaje kuibia Wasio na lolote Hadi Sukari ikiwa ninyi mnalolote!!
  Mmeshindwa kujitosheleza kwa Chakula pekee mtaweza lipi!!
  Wacheni dharau ninyi watu!!
  Na si ajabu mtu kama wewe unaishi kwenye mabanda ya kibera
  Kisha waropoka watanzania hawana lolote hahaha!!
   
 11. Destro

  Destro Village Elder

  hamna jina ya kiswahili ya forum???Ukikaa border ya kenya na Tz usijiite mtanzania tena.Ww ni mkenya
   
 12. Antonio Mascaro

  Antonio Mascaro Village Elder

  bye.gif
   
 13. Motochini

  Motochini Villager

  Du! hii kali
   
 14. Antonio Mascaro

  Antonio Mascaro Village Elder

  Inafaa tumuibe alafu tumpige branding ya bendera ya kenya na chuma moto. Tumalize hii maneno
   
  Destro likes this.
 15. kah tony

  kah tony Village Elder

  Nimehusiana na watu wa nchi nyingi Africa na naweza Sema wakenya hatuna dharau kama mtu ana heshima na hana ujeuri. Hao wanaija unazungumza kuhusu labda ni wale watu loud mouth wa kutoka igbo ambao ni wakora na wanapenda wanawake wakenya sana.

  Wabongo shida bado hujaeleza ni ipi? Mbona kila kitu ni mashidano na wakenya? Huwezi kuwa na mjadala na mbongo bila yeye kujaribu kusema wakenya oo wakenya aa...Kiongozi wenu Magufuli kila uchao ni kujaribu kutuweka chini. Hata uchaguzi wetu anaingilia kati.

  Hii forum ni ya wakenya. Na jamii forum ni ya kwenu.
   
 16. Motochini

  Motochini Villager

  Nyie niwatu wakupuuzwa tu
  Mtakuja kugombana na vivuli vyenu
  maana hamkosi Chokochoko na Tanzania!!Magu aingilie uchaguzi wa kenya kwa lipi haswa!!
  Tatizo mmejawa na Husda sana !
  Tunajua sana kama hii ni forum ya wakenya
  ndio maana wageni inakuwa ngumu kuchangia Mijadala ya forums zenu,
  Hamna jipya humu zaidi ya Ukabila
  mara Jaluo,Mara Kikuyu!!
  haha yaani mnalaana si bure
   
 17. Antonio Mascaro

  Antonio Mascaro Village Elder

  Kama tungetaka forum kama jamii tungekuja huko Jamii. But THIS IS KENYA. You don't come here to tell us how to do what we do. The last person who did that alikua muingereza. Enda kamuulize kuliendaje. From the onset, you came here trying to prove venye mnaeza tufunza. Kwenu ni Tanzania Vs Kenya kila kuchao. We can be objective, or we can be non-objective. So kabla uje utueleze Kuhusu kibera hapa, we jua hamna lolote la kutuambia.
   
 18. Motochini

  Motochini Villager

  Mnaweza kumuiba yeyote Kwani Uhuru,Mugabe walisha sema Wakenya wezi
  hata Takwimu zaomyesha
  walipo wakenya 10 jua 8 Wezi!!
   
 19. Motochini

  Motochini Villager

  Hahaha kumbe wajua Kibera ndio Kuzimu pekee East Africa
  hahaha huwezi kuona sehemu mbaya yakuishi Mwanadamu kama kibera hahaha!!
  Kuna kitu hukifahamu
  Watanzania waliopo hapa niwachache kuliko Wakenya waliopo Jamiiforums
  Ile nisehemu huru
  forum inayo mpa uhuru mtu yeyote kujadili mada motomoto awe Mtanzania au Mkenya.
  Kuna Wanyarwanda kibao kule,Waganda,Warundi,
  Sababu kuu Watanzania hawana Ubaguzi na ukabila
  inapelekea kila mtu kuchangia mijadala kwa uhuru.
  Njoo humu
  mmejaa Viburi,Ujuaji,Chuki,
  kutwa mada za Kikabila
   
 20. Antonio Mascaro

  Antonio Mascaro Village Elder

  haya tupuuze, rudi kwenyu jamii. Nini unatafuta hapa ? Tushakueleza hatukuhitaji bado unajilazimisha kwetu :D:D Wabongo jinga kweli. Hatutaki wachawi kwa forum zetu