Ukisikia Eti Mtu Ni Mgonjwa, Wakenya Hujijazia Ni Ugonjwa Gani

Juzi Sudi alimwambia Tuju aende nyumbani akajitibu. Ale matunda na acheze na wajukuu coz his sunset is due. Kwani kuna tofauti gani ya kufa na cancer, diabetes, hypertension au Okimii? After all Okimii is the most manageable among all this cancer being the most expensive. Hakumabia Tuju vizuri.

Lakini hata hivyo kwani huyu Sudi anaona yeye hawezi patwa na maafa kama ya huyo jamaa.
Let him not misuse his current moment of fame ku disrespect others yet anataka watu waheshimiane

when my father had cancer… some relative spread rumors ati ni AIDS… that’s why I lost all respect for extended family

I never take them serious too nowadays,by just looking at their deeds yet my folks wants us to embrace them ati familia ni muhimu

If you change your diet, hit the gym and reduce pombe resulting in losing weight. Rumours will start. Ukimui, tabu nyingi or cancer

I contracted TB some 8yrs ago. Went for the HIV test which is part of screening but turned negative.
I lost like 30kg in 2 months. Kupanda just one flight of stairs nahema nikama nimekimbia marathon.
Guys at work ( as I learnt later on) were spreading a rumour that I was positive na nimekataa kukunywa dawa.
One of the older ladies even approached me to counsel me since she was positive and accepted her fate and hoping I accept my “hiv” status.
All in all nilimeza dawa for 6 months and regained all that weight and some more.
Moral of the story is guys ( including your friends) will say things behind your back that will surprise you.

Ulikuwa na TB na bado unaingia works?..

BUt familia ni muhimu either way… hehehe…

Pole sana, and whats with that skeleton avatar ?

Naongoje jibu hapa @gobshite

Ukimwi…rona…uzee…mukubali…mkatae pia

Siku hizi they encourage HIV victims to take the drugs by pointing at you with their mouth lips tightly held together

The one kenyans like most ukikonda sana ni vile umehara. Kwisha yeye! Hana pesa whilst laughing til you can see all their molars.

At weks with TB? were you not isolated in hospital?

Msito wa dump…post picha wewe dem ama uwache upuzi ya kufanta elders wawe senior coz hatujakubaliana…staff ajiju

Yeah that one and pia if you were driving and then you choose to start walking… huyo alifilisika… mara unaulizwa what’s wrong… Ama they see you with a big car suddenly the same fuckers wanakupigia salute, na kuitwa mheshimiwa…

Tuju ako tu na HIV hana AIDS hata kidogo… akiwa tu fiti ataishi another 30 years God willing

Pole kaka. Hiyo ya tb hats ukirecover they still say uko HIV positive but uliaccept na sasa uko on arvs. But since unajua ukweli uko wapi unaishi maisha yako bila na kuacha watu waongee.

:D:D:D:D, pale mtaani, there was an accountant , akiingia pale local pub, patrons used to stand and clap for him while calling his name. wakenya wakijua uko na kakitu, they will pamper you with all kind of BS.

Mimi sijai waelewa nyinyi watu. Kwani why do you care what people say about you? It’s not like it will change who you are. I think I’ve learnt to embrace solitude until I no longer care about anyone apart from my immediate family.