Utachukua uamuzi gani hapa?

Sky Eclat

Village Elder
#1
Unapikia kuni na unajua mziki na hatufu ya moshi baada vya kupika. Hubby alikutaarifu tangu asubuhi kuwa kuna shughuli kwa bwana Juma na atawapitia saa kumi jioni kwakua wewe na hubby hamna usafiri wenu.

Umepika nyama ya kuchanywa na kabichi na ugali. Mmekula na hubby, uneosha vyombo na kuoga ukijiandaa kwenda shughulini.

Umeanza tu kupaka fashion fair, Baba mkwe anaingia kutoka Machakos. Anasema aliondoka kwake saa kumi na mbili alfajiri ili awahi usafiri na hajatia kitu mdomoni.

Unaenda kuanza kupuliza kuni unamikia ugali. Mume wako amemtaarifu kwa mnatoka anasema yeye akishakula ataangalia TV.

Uko katikati ya mapishi ya ugali, bwana Juma ameingia, ana haraka kwani binabidi ampotie na shangazi wa mkewe. Ni wazi kuwa baada ya kumuanfalia baba mkwe chakula itabidi uoge kwanza.
 

Ntolilo

Village Elder
#3
Kwa roho za wadada wakisasa watanuna mwaka mzima kwa tukio la kukoseshwa shughuli.

Ningekua mie ningeamua kulingana na mudi ya siku husika. Either nichukie au nichukulie poa na kuamua kubaki home.
 

Consigliere

Senior Villager
#6
Ama kweli tupo ukimbizini, maana hii story ingekua kule tulipotoka ingekua inamuelezea baba mkwe aliyerudi kutoka Liwale, Kimara, Tukuyu au Kahama Lakini huku naona ni mwendo wa Machakosi, Kitui, Nyeri, Kisii na Migoli, tumeshaanza kuizoea mitaa sasa.
 

Top