Uzi maalum wa kutoa shukurani/ shuhuda kwa YESU

Doncute

Senior Villager
#1
Wakuu,

Dunia ipo na mambo yake ni mengi...

Yawezekana umepitia mengi na kupitia Mungu akakuvusha salama.

Yapaswa kushukuru kwa kila jambo liwe baya au zuri.

Shuhudia hapa mambo Mungu aliyoyatenda kwa jina la YESU ili jina lake litukuzwe.

Nianze mimi:

Asante YESU kwakuwa ktk maisha yangu nimeona mkono wako ukiniponya, ukiniinua na kunivusha.

Tembea nami YESU ktk maisha yangu

Sifa na utukufu zirudi kwako YESU

Zaburi 118:1 Haleluya. Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema kwa maana fadhili zake ni za milele.
 
Last edited:

park don

Village Elder
#9
ushuhuda: jana nlilala na stress baada ya senegal kushindwa kulinda goli lao na kushinda dhidi ya japan hatimaye wakatoa suluhu! thanks God leo nmeamka nko free na stress zote kwisha! naomba Mungu aniongoze katika kazi zangu za leo. muwe na siku njema.
 
kimjongun

Senior Villager
#15
Ushuhuda wangu ni huu
Nilimaliza chuo 2009 lakini kazi ya kuajiriwa kabisa nilipata 2015 nimepitia magumu mengi muda mwingine nilihisi Mungu hayupo nami au nimerogwa nilihangaika sana lakini sikufanikiwa,Njia za Mungu sikuzote hazichunguziki nilikuja kupata kazi sehemu ambapo i did nothing yani ni bure kabisa kweli rehema bure na tulipewa asante Yesu bila wewe mimi siwezi kitu
 
#17

bado nasubiri unitafute:oops:
 
Top