ushuhuda: jana nlilala na stress baada ya senegal kushindwa kulinda goli lao na kushinda dhidi ya japan hatimaye wakatoa suluhu! thanks God leo nmeamka nko free na stress zote kwisha! naomba Mungu aniongoze katika kazi zangu za leo. muwe na siku njema.
Ushuhuda wangu ni huu
Nilimaliza chuo 2009 lakini kazi ya kuajiriwa kabisa nilipata 2015 nimepitia magumu mengi muda mwingine nilihisi Mungu hayupo nami au nimerogwa nilihangaika sana lakini sikufanikiwa,Njia za Mungu sikuzote hazichunguziki nilikuja kupata kazi sehemu ambapo i did nothing yani ni bure kabisa kweli rehema bure na tulipewa asante Yesu bila wewe mimi siwezi kitu