Karibuni tujadili yote kuhusiana na club yetu pendwa, club yakimataifa, wababe wa ligi kuu soka Tanzania bara mara nyingi zaidi, Club kongwe zaidi nchini Tanzania, karibuni sana.
Tupo apa,Yanga Lunyasiii
Tumekujaaa
Ewaaaaaa
Nasikia kegere anaenda dar young
Sikuhizi tetesi karibu zote ni zakweli
[FONT=courier new]Hivi siku hizi kumbe hata Timu za ’ Kipumbavu / Kipopoma ’ nazo huwa zinajadiliwa na wale wenye ’ akili ’ timamu?[/FONT]
[FONT=courier new]Kama kuwalipa tu Wachezaji wenu mishahara yao wanayowadai ya miezi miwili hadi leo mmeshindwa na mmewakopa ndiyo mtaweza kumsajili Medi Kagere kwa Tsh 130 Milioni wanazotaka Gor Mahia huku Yeye mwenyewe akiwa anataka alipwe mshahara wa Tsh 11 Milioni kwa mwezi?
Watu wa Yanga SC kuna muda huwa mnachekesha na kutuaminisha pia kwamba mna matatizo ya akili / upeo.[/FONT]
Umebaka uzi
[FONT=courier new]Sijaubaka tu ’ Uzi ’ bali nimewabaka hadi Wana Yanga SC wote halafu ni Watamu kweli kweli.[/FONT]
Ishafika swahiba
Hii timu yangu naipenda sana
Nasikia kocha alikuja fanikisha kupata ubingwa wa ligi baada ya ukame wa zaidi ya miaka 3 mmemtimua kama mbwq koko
Aisee nyie hambebeki
Hahaaa. Tuipende tu Swahiba.
Siku zote “DAIMA MBELE NYUMA MWIKO”
Watatukoma msimu ujao mikakati ya kamati ya kurudisha heshima ipo kazini
Umeonaeee. Huo ndio ukweli Swahiba.
Nilikuwa nashabikia Yanga ya kina Lunyamila
Sawa swahiba
Eid Mubarak
Minal Faidhina Swahiba. Karibu.
Sijutii kuwa Yanga hata siku 1