Zappa

#1
One weekend a friend invited us for his birthday party. Due to peasantry , yeye alikuwa anaprovide food only and entrance to his bedsitter was a mzinga.

Mimi na a friend tukaingia wines and spirits, tukasema leo let's fire our souls. Tukacontribute 900kila mtu :zappa, lime juice na beer moja birthday gift.
Kufika maskani, warembo check, music check food check. Hiyo mzinga tulimaliza watu wawili with a few tots to the ladies we were respectively eyeing.

Midnight kelele zimezidi , caretaker akabisha akatushow huku si kwa mama yetu. Tukaamua tumalizie a club not so far away.kufika main road b. Day guy zimeshika mbaya anadai kupatiwa slices na manzi yake hapo hapo kwa barabara.

At the club I ordered one Guinness, zikanishika ×10,maji litre moja naskia hasaidii. Roho inapiga Ile design ya this the last heartbeat kijana. I went outside to get some fresh air. Far end nikaona gari parked away from others. Nika stagger hadi hapo nikajiseti vizuri na kuanza kuosha tyre. Ata sijamaliza vizuri I zip up naangalia no. plate, though my vision was blurred I could tell a g and a k. Out of nowhere niliekelewa slap kutoka nyuma nikatubu dhambi zangu zote. Zappa na Guinness zikatulia na 500 ya kuosha gari ikaenda.
 

epoch

Village Elder
#7
Hehehe, inanikumbusha dem wangu fulani alikuwa anapenda Zappa. There was a time zilimbeba na tulikuwa kejani afu dem akadai twende VCT tukapimwe ama asinipee. Lo, mwanaume sijawai shtuka na kushangaa hivo. Though I was also drunk, we had to wake up the nurse at the local hospital - saa tisa usiku - apime. Don't joke bwana, pombe yangu ilishuka hadi -19 degrees.
 

Top