Abandoned Mansions

Machakos pia ni place poa sana

2 Likes

Kiambu town si me huskia ni ushago? That by 7pm the town is deserted!

1 Like

Lakini surrounding areas like Kirigiti have some nice houses. And it is only 30 mins from CBD. Also other places in the county like Kahawa Sukari, Juja, Ruaka, etc

:D:D

Kiambu wezi ni wengi naskia hata mansions za huko wasee wali abandon juu usiku mathegi wanaingia daily na si tafadhali

3 Likes

Wakora wengi wako kiambu county ile pande ya Kamakis. I went to visit a friend of mine there nyumba mzima ni mlango ya chuma. Hadi mlango ya kuingia choo

9 Likes

hii nayo uliskia kwa vijana Wa Gaza ama wapi?

uliskia hizi story ukitombwa na @junkie

Boss hizi story ni fact hata magazeti yaechapisha haya maneno.

@Ice_Cube ingia archives ya standard group uletee hizi ngombe za jubilee facts

2 Likes

be specific Kiambu wapi makende ya Khalwale

I don’t exchange words with uncircumcised short NVs like you .

Ukipita na hio barabara ya kutoka kiambu kwenda ruiru, utapata nyumba nyingi sana abandoned because of thieves.

4 Likes

Hehehehe stop exaggerating boss. Ni moja tu

2 Likes

You are a thug. Unachocha watu warudi ndio uwaibie tena? My Neiba anatoka hizo sides. Yeye huenda ushago asubuhi na kurudi jioni.

5 Likes

So you got that info from your neighbour? Uliambiwa tu lakini hujawahi jionea? Lol

2 Likes

And he is reporting that will all the confidence.

1 Like

Tuko huku Nyanza kwa vishindo. Some of us tunajua hizi places kuliko locals.

3 Likes

Hehe Kiambu na wizi inajulikana hata msijaribu kuitetea.

2 Likes

How is Banana these days? Kuna time masos wa huko walikuwa wameingizia sana.

1 Like

Vijana walijua risasi si ndengu, kuko poa kabisa

1 Like