Anaomba ushauri kachanganyikiwa

Ile kauli ya kupenda boga ndio maala pake hapa pia uvumilivu muhimu kama kweli anampenda mwana…

Kumbe ni uchumba tu, sasa taabu zote hizo za nini??? kila mtu afanye maendeleo kivyake then wakija kuwaza kuishi pamoja ndio wakubaliane wataishi vipi…

kwa sasa naona kila mmoja angekaa kwake then mapenzi yaendeleeee kama kawa ila kila mtu service zake ajitegemeee mwenyewe

Amependa Boga hana budi kukomaa na ua lake.

Inamaana hyo familia wanalala tu kumtegemea jamaa??makabila mengine ovyo kabisa

Kusaidia ndugu sio jambo baya, ila ubaya unakuja mtu kukuachia majukumu yote wewe pekee yeye akifanya mambo ake, huyo kaka hana mapenzi na huyo dada yuko kimaslahi na siku shida ake ikiisha huyo dada ataona true colors za jamaa, afajye maamuzi muda ndio huu isijekua too late

kwanza huyo mwanamke ana roho nzuri sana…mpaka sasa bado yupo hapo…kagundua malengo yake yatachukua muda sana…na asioondoka hapo hafiki popote…wakioana tuu…wanahamia hapo

Nimesoma comments zote hadi hapa

Imagine baba ake jamaa anawanawake 3, hakuna mwenye uwezo hata mmoja kuna kaka yake yeye ni mwalim lkn hasaidii anafanya yake nae anaonekana anaroho mbaya kwenye ukoo…

jamaa ikifika dec awalimie mashamba,January ada za shule anasomesha wadogo zake 4, bado ujenz kwa muda wote…kuvaa, kula, kulala vyote ni yeye huyu kaka mtu kama huyo wataendelea lini?

Huyo mwenzio afanye tu maamuzi mwanaume wa hivo atahudumiaje kwake sasa ikiwa the whole family yake wanamwangalia yeye?? Ajue lakini na yeye ni mwanaumr anapaswa kuja kua na familia yake ataileaje kwa style hii kusaidia ndugu hakujakatazwa lakini mtu hujikuna pale mkono unakofika

Sasa ndio wanataka kuishi pamoja maana wamepatana mahari imagine jamaa anashindwa kutoa mil 1 anasubir mpaka akivuna shamban ndio apate mahari so ikishatoka tayari process zq kuishi pamoja zinaanza

Mzee mkulima anawanawake 3 anawatoto kalibia 35 jumla nawa nje wote wanategemea kilimo

mambo ya ndoa sometimes yana changamoto sana…
kula moja na lake

cc @Smart911

Kama mawazo yenu na mambo yenu hayapo sawa kwa asilimia kubwa maana yake ni hamuendani…

Kila mtu angechukua hamsini zake itapendeza zaidi…

Cc: @Mahondaw

hakuna muke…

You know whaaat!!!

Nadhani nimekumiss we mdada…like for real!!!

Sasa hela akipata ndio atoe mahari then hayo maisha wataenda kuishi kwa jirani au?

Sijakuelewa hata robo

Kiswahili hiki kiGumu kweli…