Another bus takes a groundie

you mean matatu hawesmake huku

Airtel rules.

@Meria Mata…tarasaa haiko kwa njia…lazima u branch ukipita hurara…unaingia hiyo njia ya kwenda ngao au golbanti na semi karo …huko nimeishi…hustle is real

4 Likes

Ile ya Jana ya Ecoach ningekuwa ndani… Its only coz I got busy nikachelewa

Imeua watu wetu mob sana. Head injuries, skull cracks

Twagoja hekaya

Poleni sana boss

…he he …hamna hekaya…kufanyia serikali kazi…nilipata posting ya huko job. hiyo siku i was wishing its a dream…but niliishi huko miaka mbili…nili interact sana na wa pokomo, orma na wardei wa huko

3 Likes

Msisho nimefika ni.malindii

Pia mie nimetembea hiyo mitaa hadi lamu tamu,na on the other side mpaka bura,residents wa those areas wanaita huko KENYA B

1 Like

Matatu ziko but from Malindi town,from msa ni buses only

Hope ulikula mamba during your stay

One of my catch kwao ni mpeketoni. She told me mpeketoni iko Mainland to get to Lamu Island ni boat tena. Halafu they used to stay on an island huko which only means of transport was a boat ride which took 4 freaking hours. 4 hours uko tu kwa boat, mimi siwesmek. Would love to visit Lamu though n meet some Pokomos

I doubt if the county welcomes failures

1 Like

Don’t even attempt. The road conditions utaitana.

1 Like

Pokomo na Orma wengi wako Tana River, Lamu ni Bajuni mostly na waarabu. Normal boat ride from Lamu island to Faza islnd is about 4hrs; normal boat from Mokowe jetty to Lamu island about 45mins (speed boat much less).

2 Likes

Somalis are arabs

I guess walikuwa wanaishi Faza Island

…lazima mamba, kiboko na mud fish(tozi )…kutoka lake shakababo. though sikunywa mkoma

2 Likes

faza island is damn far bt so beautifl kwanza ukienda morning kabsa so that u see the sunrise,with a speed boat u need 2hrs. uko u have to stand @ specific spot kupata network.
alafu that road btn malindi to mpeketoni n onward is deathly…apo usipokimbiza gari al saitan watachomoka from the bush n then we will read your sad story in the papers

3 Likes

Hizo barabara…
Ya Garsen - Hola - Bura…
nilisafiri for 3days.
Sema uncertainty. Huwezi rudi n kuendelea ni shida. Gari kukwama after every 50m.