Another bus takes a groundie

Hehehe…Hola kukinyesha hata tractor haiwezani. I have a relative posted there recently.

Swali moja tu, Kuna mbesha huko? Naweza uza nini inipe faida mzuri

2 Likes

Ujinga, …uza ujinga

1 Like

Huko labda port (LAPSSET) iwaokolee. They seriously need it.

1 Like

Hiyo route mambo mbaya…
Kuna mtu aliiba na kunywa maji yangu yote. Sema kiu…

Mkoma ingekukomoa:D:D:D:D:D

yeah its a very desolate place

Ile space station iko wapi?
Mbona huwa haitajwi saana?

1 Like

Those sides have a lot of livestock but low in horticultural products. If you can play about with those two, you will become a mbirrionare…
Kwako:
Transport…tick
Capital…tick
Shiny eye to see an opportunity…tick.

am not so sure but i guess iko malindi managed by italians.

1 Like

It’s in Malindi.

Tafuta shamba kule mpeketoni na ulime

2 Likes

You are right on only the third point
Hehehe
Capital - natafuta number ya Kafura

1 Like

Hehehe kuna time gari ziliwa zinapitishwa na KDF sijui ka waliacha?

Been to Lamu and my experience was wonderful. Anyway, was there before Harakat Mujahideen Shabaab started the attacks. The sunrise in Lamu is something to behold. I found ocean currents in Lamu Island to be very strong.

1 Like

Space station iko place inaitwa Ngomeni -11 km from Gongoni town

1 Like

My Lamu was (bows head in shame) 1986!

The passengers had to get off at some point to help pull the bus across a river on a floating wooden bridge. Me and later wifey had hectares of that golden beach to ourselves.

Was on that road on Monday, nikapata tyre burst (hii ilikuwa spare, ya kwanza iliburst Mpeketoni) nearest town was Garsen which was like 45Km away nilisweat mkundu siku hio, maajabu in such a desolate place boma zote zilikuwa za Wakikuyu. Only radio station in that area is a kyuk radio station sijui kama ni Inooro ama Kameme.