Line up imetokea wadau
[ATTACH=full]268222[/ATTACH]
All i can say is Bournemouth is not Norwich city, cherries will harmer utd vibaya sana mkicheza hio slow boring football mumezoea.
I expected Josh king, wilson and martial all to be on the score sheet so my prediction
Bournemouth 3
Man utd 1
huyo Ake huwa anasumbua sana ma setpiece . hii game naona Martial na Rashford wakipata injury serious
Ryan giggs pale BT sports anasifu country boy Daniel james unaweza fikiria ni messi
Hii game inakaa tough Sana. Naona ManU wakikamuliwa Hadi mkia
Seems the turning point of Man was during the liv game. I don’t like them but again I don’t expect them lose.
Josh king goal
Sijui kwanini siskii vibaya venye tumefungwa. I partly expected it. The conditions favor the home team who are already used to it. Inakaa draw lakini which I will take.
Bado mapema
[ATTACH=full]268228[/ATTACH]
live link please
msiogope…manchieth wanangoja penalty
Wueh…hawa watu watakamua man chieth. Perfect display
:D:D:D:D
[ATTACH=full]268230[/ATTACH]
:D:D
hio draw enda chukue kwa nyumba ya nyanya yako
Hiyo bao ni moto
What a boring game from man u. Hii timu shida ni gani?!!!
Panua nakam Man u Ni kitoeo kwa kila team. The best is a draw
Umetoka cave mkubwa…hehehe