Chelsea FC Special Thread The pride of London

Mashabiki wenzangu wa The Blues huu ndio uzi maalum wa chama letu la blue. Habari zote kuhusu CHELSEA tuzikute, tuzitupie hapa. Karibuni

Dah nakupongeza kwa kuanzisha huu uzi, R.I.P JF

JF ndo ivyo tumepigwa pini angalau tumepata pa kuhemea

[ATTACH=full]175855[/ATTACH]

kunguru mjanja

Asante sana kwa kutukutanisha tena huku ukimbizini

Chelsea tutasajili kweli msimu huu?

bado upepo haujaeleweka broh

Sarri anakuja msaidizi wake atakua Gianfranco Zola

haijawa confirmed bado ni tetesi tu lakini

Mabingwa wa Ligi ya Premia Manchester City wataanza msimu kwa mechi ya ugenini dhidi ya Arsenal wikendi ya 11-12 Agosti msimu mpya wa Ligi Kuu England utakapoanza.

Arsenal wataanza msimu wakiwa na meneja mpya Unai Emery aliyemrithi Arsene Wenger, Mfaransa aliyeondoka klabu hiyo baada ya kuwa kwenye usukani kwa miaka 22.

Tottenham watasafiri Newcastle kisha wacheze dhidi ya Fulham katika uwanja wa Wembley wakisubiri uwanja wao mpya unaogharimu £850m umalize kujengwa.

Manchester United watakuwa wenyeji wa Leicester City, Liverpool nao wakutane na West Ham, huku mabingwa wa Championship Wolverhampton Wanderers wakialika Everton uwanja wao wa Molineux.

Fulham waliopandishwa daraja watakuwa wenyeji wa Crystal Palace, huku Cardiff wakiwazuru Bournemouth.

Chelsea watasafiri Huddersfield, Southampton wawe wenyeji wa Burnley, nao Watford wakabiliane na Brighton uwanjani Vicarage Road.

Mechi za wikendi ya kwanza

Arsenal v Manchester City

Bournemouth v Cardiff City

Fulham v Crystal Palace

Huddersfield Town v Chelsea

Liverpool v West Ham United

Manchester United v Leicester City

Newcastle United v Tottenham Hotspur

Southampton v Burnley

Watford v Brighton

Wolverhampton Wanderers v Everton

Bado hatuoni chochote labda wanasubiri world cup iishe

Waiting for a big deal with big teams…[ATTACH=full]176641[/ATTACH]

Huyu keeper sio wakuaminika heri aende Caballero abaki.[ATTACH=full]176642[/ATTACH]

Naaam…! Hodini humu ndani ndugu zanguni.

Asante sana kwa kulianzisha jukwaa la chama letu.

Tunaanza kwa kusajiri kocha

[SIZE=6]Darajani Rasmi…hutaki meza kiwembe[/SIZE]

Former Napoli boss Maurizio Sarri is expected to fly into London on Monday to seal his appointment as Chelsea’s new boss on a two-year deal, with an option for a third season.
[ATTACH=full]179564[/ATTACH]