Damn Thieves

I hear they normally use Doom spray under the door or through the vents and then u swatch like a log… they can even break into your house, cart all furniture na hutawaskia

kama hata nguruwe na umashetani yake wanachinja na huwezi sikia ,kuna watu wrong number

1 Like

Dakitari saidia hapa na ka explanation na usisahau mbicha ata kama ni ka sketch.

wacha ujinga

hii si njaa ni ulafi

Doom kwani mtu ni kuku?

1 Like

@Wakanyama MRUDUSHIE HATA 100K ,

AVIATOR NI MMAMA AMA JAMAA?

Those slaughterhouse guys are experts I say, I watched as the tore apart a 400kg cow in like 30minutes, they skin it so fast walai!

Pole lakini ndugu @aviator (ama Ni Dada?)

wah! mtu wangu itabidi uongeze hawa workers mshahara sasa, kuna mtu hasira zime-boil over

NI KISHEMALE

1 Like

Huko western aki kuna superstition…

1 Like

The best thing ni kulisha mbwa kama unafanya farming ya mifugo…the dog really barks at night especially if there is any suspicious noise in the compound…so even the thieves cannot get all this time to slaughter your animals…even the kiihu/squirrel haiwezi karibia kuku…

1 Like

mrs mureithi, hata hizo zingine watarudia usipochunga, wezi hivi hivi huwa wanazifanya boneless,lakini hao inaonekana walizilete burma market wakazipeana na bei ya kuondokea.pole lakini

Iza mujamaa @aviator though am kinda confused about mara wewe kuwa mrs mureithi mara kawamboi. Tangaza msimamo

Pole boss.

Where can I get fierce dogs like the ones that attacked a watchie?

Their puppies go for between 20k to 30K each call this number 0721344872

1 Like

Man izea joh

pole mzeyya
uweke dogii myt help

pole boss

malipo ni hapa duniani…

life goes on