Sasa leo after kumaliza shughuli zangu mapema nikajiambia si leo nipige raundi nijue hii club Calabash iko wapi. Kwa nyumba kwanza nikaingia Google maps: Option a) from Koja stage to Duruma Road. Option b) from Odeon to Duruma Road, since sikutaka niende na mulika mwizi juu hizo area hukaa fishy.
Safari ikaanza. Mimi huyo nikaland Koja, nikajaribu kulocate Ngariama Lane nikaona sioni, nikaamua kuenda na option b mimi huyo to Odeon. Nikafuata hiyo route beside Odeon straight ikaniangusha Duruma road direct. Nikaingia hiyo route, kusonga kidogo, nikaona club Sahara, nikajua nimefika coz nimeona hilo jina likitajwa kwa discussion ya Calabash. At exactly 1740 hrs kusonga mbele kidogo nikaona sign post ya Calabash entrance wamama wanono kama ndovu wamekaa hapo kwa entrace, stairs ni refu ajabu, humo ndani kuko dark with club lights za blue. Kando mabasi zimesimama ni kama ni booking stage.
Nikasema leo hakuna kuingia ndani nikuhang inje nipige external situation awareness kwanza nione kama kuna dramas, like jamaa kutoka rooms mbio bila toja. Opposite, kuna duka painted green with a fridge outside. Nikasema wacha nishike soda kubwa hapa nitulie kwa hiyo pillar ya simiti ya Kenya Power niangalie external events.
Kidogo kidogo nikaskia jamaa anaitwa, " baraza! baraza! ebu come kiac! Nikajua baas, huyu jamaa ndio talkers walikuwa wanasema. Next, my focus ikashift kwa madem, yes, majority ni petite brown skin. Kidogo kidogo niliona wawili slim thick hapo kwa entrace ya Calabash, wamevaa dress tight black and blue, respectively, imestretch hadi ungeona matanye kwa umbali, I think they were Kambas, till my lower head started pressuring me, man go! go! go!, don’t spare these ones. Luckily, my upper head restrained me, like, stop! this is just a field excursion! Since mwezi iko corner, I had no option but to hang on my soda kubwa. ( Damn! Peasantry ni kitu mbaya saidi!). In fact, a lanye, a brownie petite, came hanging around the nearby beam coz aliona a potential, nikamlenga, ikabidi Amejitoa at 1815 hrs hapo.
My code was that 1830hrs shouldn’t find me there, so by 1820 hrs nilikuwa nimemaliza soda yangu nikarudisha chupa nikajitoa. Nikimaliza hiyo stretch ya Duruma road kusonga mbele kidogo kwa ile junction ya River Rd nikaona tena kuna lanye wametega hapo, na pia sio wabaya. Since hawakuwa part of the study plan sikubother, nikashika gari hapo fasta na kwenda zangu. My verdict, Calabash iko safe sana ukienda during afternoon hours. No drama at all.
So, my next plan is execution. @cortedivoire huko Calabash ndani bei ya Keg ni ngapi? Makali ya peasant kama Blue Ice iko? Wanakata? Lanye nao besides 150, other charges ni gani e.g. za room, etc.

