First car Toyota 110?

Mbona hamjaambia huyu jamaa juu ya security na wizi wa hii gari. Inapendwa sana na wezi wa gun

Funny thing, one of my richest relatives anaendeshanga Toyota 110 since forever. His wife and children all drive “big” German cars. Sijui anaipendea nini