as you know tinder imekuwa hunting ground for mafisi,sasa thufata has met a few mizoga on the site lakini 98% wote wameturn out kuwa kunguru…
kuna ule ninja niliwapea heka some few years ago vile tulikula combi kwa bash, so this jamaa met a bui bui on tinder with somalian heritage, jamaa aka smash few times, na sasa vile jamaa alikuwa na gari ya job mzoga ikapagawa, and the chic aka anza kukatalia kejani…all this time kadame kalikuwa kanapatikana sato na sunday,she said ako chuo college…
mzoga started telling ninja hajiskii na masomo wakuwe tu wana stay pamoja, ninja was not ready to marry lakini ikus imejipa ilikuwa ngumu kukataa…jamaa ika anza kukanyaga raw na inawacha mzoga kejani ikienda job …for 3 months ,mzoga akapataa ball…
kumbe maparo wa mzoga walianza kutafuta mtoto wao, she was tracked down to the ninjaz place…kumbe mzoga iko 17yrs
mninja na ivo ndio alipewa kifungo ya 19 yrs this year…
maparo wa ninja walijaribu kuhongana lakini wapi
wadau tusare na izi seketee young form nikukula thegeree za 29 and above
Mimi siwezi advise ndume imedecide kukaa na kunguru. Dem umetoa tinder ukachukua slices unafaa kujiuliza Ni mandume wa ngapi washachukua slices. Hapo ndio Mimi husema sex is overrated. Dem anakupea styles zote za porn mpaka your vision to think straight inalost.
I will never sympathize na mtu ali chezwa na kunguru na alijua from the word go alikua kunguru. He is a grown ass man, he should know better and take responsibility when shait hits the fan