Fund raising... part 3 office manenos

Wadau itabidi mumenifanyia fundraising coz i need a car, 20k ya hotel 5k kupeleka dame out na 5k ya fare fare…

In total i need 30k. Plus ya kutoa. Coz right now niko na fuliza and i only have cash ya 150.

How will i manage this herculean task…

Naona watu 105 wako online kila mtu atume 300. Na 29 ya kiwthdraw. Asanteni sana in advance. Ni hayo kwa sasa

10 Likes

Si ungeweka number

4 Likes

Ingia calabash na hiyo 150…the hole will be the same or better than huyo wa 30k. Ni kama boss wa white toyota wish ameharibu bei ya soko

8 Likes

Arimis ni 15/ abaki na 135/

6 Likes

Kweli wewe ni fukara ,unadhani kuwithdraw 30k transaction cost ni 29, which means huwahi withdraw above ksh1500.
die street art GIF

10 Likes

Only kijiji accepted maximum ni 150.

Ongea na @cortedivoire akuonyeshee mashimo za wan chweza.

Joke is on you…dude is probably rich hadi hajui hizo costs za kutoa…ndovu is a well to do ktalk village troll