Nani ameona resident chokosh tangu abebe 40k in coins jana pale dago.
kaa uko na hio clip akivunja hizi majisanduku ebu weka.
[ATTACH=full]177555[/ATTACH]
Huko mko nyuma ya kwetu ju tulizichoma Jana.
soma swali langu vizuri Mkuu
Siwezi patiana chokosh mwenzangu akiwa na pesa…