Hello KenyaTalk, a new member here from Tanzania.

Thanks brother.

Mbona mmeanza kutukanana na sijamaliza hata 1 day?

SO what you are humble??? Wewe na Pastor fake ligi moja. Pretend you are righteous but the worst snakes alive. Karibu KTALK

Asante! huku Viroba vilipigwa marufuku ati ni uchafuzi wa mazingira…so buy Konyagi in bottles:(

Few of us went to best schools of Tanzania, so English is a norm in private, educational up-bringing.

I lived in Nairobi for 2 years (2012 - 2014)

kaka i would prefer to one day take a walk in TZ, been to Rwanda UG passed through Burundi but never BONGO

…and I’m also trying to cope

Karibu sana…we are such a beautiful country ukiacha setbacks kadhaa

No that is just a user name, don’t be obsessed with it bruh

tutakuja na beste yangu anitwa @Lab

Safi sana…wewe ni mwenyeji.

karibu dogo

And why do you Kenyans sound rude? I smelled this too 4 years a go when I visited Kenya. You are naturally not friendly. Though your women are charming and very welcoming to Tanzanian men…I had a girlfriend from Nakuru, she loved me kuliko wanawake wa TZ.

pull sheet,TiZZies dont speak like that,

Asante mkubwa

boss,kumbe pia wewe umeiona,just posted it then nakuona umpeost mbele kiasi.this fool needs to be taught a lesson

Mkuu, mtanzania yoyote alieishi Kenya kidogo huwa anapenda kishwahili chenu na automatically hu-cope, na akirudi TZ huwa na rafudhi ya kikenya kwa mbali hadi azoee tena ndipo hupotea. Trust me.

Mnakaribishwa:)

Mkuu, sasa ulitaka niandekeje? unajua kiswahili chenu mtu akiishi huko ana adopt very quickly? na binafsi napenda sheng…wakenya nilionao hapa kazini huwa nachat nao kwa rafudhi ya kikenya, watu hudhani mimi ni mkenya…Nooo, I’m sukuma from Mwanza, sengerema.