Hello KenyaTalk, a new member here from Tanzania.

halafu naskia sumbawanga kuna dawa, nami sasa napenda Kingwendu familia na yule aliimba kunguru hafugiki, pia cheza Ozil nipate Binti wa Bongo mwana

Dada zenu Wahaya wako hapa Kenya wengi.

@Tracy Mueni

Hapana, mimi Mkenya

Yeah…I meant wewe huku ni mwenyeji, ukija hupotei.

Pia dada zenu wakikuyu wapo kwa wingi Dar es Salaam. Wanajua kutafuta hela sana.

Naam.

Sasa hiki ulichoandika ni shairi, wimbo au umeropoka?

Karibu sana, kuna kijana mtanzania pia anaitwa @T255 kuna @Sensiminia jamaa mpoa sana. Kuna mwanasiasa mkuu idara ya propaganda anaitwa @Mtanzania Magufuli lakini naskia alifungwa jela kwa kumtusi Rais daktari Drink Magufuli…

kaka jua leo ni monday, na tembo tuma kunywa sana mpaka asubuhi tume nywea, leo kuropoka tu

Asante kwa kunijulisha watanzania waliomo humu…pole kwa aliyefungwa!

Tembo ni beer au? pia, Monday ni siku ya kazi, kulewa ni weekend unless you have an abnormal timetable.

uliza wakenya kutoa lock ni nini??? na tafadhali neletee import pia ya Konyagi origiginal

Konyagi original utaipata nyingi sana…kuna Bapa na Jibapa, hamna ya kwenye mifuko. But mimi sio mlevi, utafanya mabinti wa Kenya wakae mbali na mimi wakati ndoto yangu ni kuoa mkenya.

Karibu

@magufuli mtanzania mjinga alienda wapi

Those are 3years, lakini haidhuru shida ya kufunzwa hesabu kwa oswahili

:D:D

Dar kuzuri sana ingawa nillibiwa simu pale corner bar,Afrikasana. Nilikuwa nimekunywa viroba kadhaa

ambia Mr NICE deni langu hajanilipa bado aweke kasi kurudisha hela zangu .