Hii forums ina uhuru mkubwa sana!

waliyataka wenyewe

Unaweza jikuta unamtukana mkwe wako.

Mambo yao waachie wenyewe…

Cc: @Mahondaw

Aisee hawa jamaa wananishangaza hasa

msiyatilie maanani matusi, kwetu hayo no utani tu au salamu

Nakiri ya kuwa sikuwahi kusoma post japo moja ya KT,ngoja niende jukwaa lao siasa ili nami nijioneeee!
Nalog off

nitapitia taratibu majukwaa yao kujionea.

Tulizeni matako yenu

Huku hakuna Ban?

Ha haa haa huku n huru
Aiseee jinga za murang"a mko wap
Mnipee kina shiko,njer,Anny,wamboi
Nibebe mmoja

[FONT=courier new]Maisha bila ’ Matusi ’ hayanogi. [COLOR=rgb(184, 49, 47)]Naomba niishie hapa tafadhali.[/FONT]

Hii ni kutokana na asili yao, wala sio uchache wa msamiati.

Nakumbuka JF siku moja kwenye jukwaa la Kenya news and politics kulikuwa na mjadala wakenya wakitushangaa (watz) eti tukienda hotel tunaomba kupatiwa huduma badala ya kuamrisha maana tunalipa.

Ukichukua hilo pamoja na uzoefu wa kuishi nao utagundua wao kwa asiri ni wepesi wa kutoa matusi tana mazito, hata kule JF mkitofautiana tu kwenye hoja tegemea matusi.

tulia wewe ng’ombe ya kenyata

Wacha ujinga wako wee jama wa Tandale.vipi msosi usha wahi,

Nope, mimi siyo huyo mtu.

Nyani Ngabu Halisi ndo mimi.

Mimi siyo huyo Dave nani nani sijui.

Nyani Ngabu Halisi ni mimi.

Pia kuna Nyani Ngabu feki humu.

Beware.

karibu mkuu ulikuwa platinum member kule lkn sasa huku ww n villager

Karibu sana kamanda!! Ha! Ha! Ha! Ha! Ha! ha!