https://kenyatalk.s3.amazonaws.com/2018/06/243291_ea2512b9bdc279cbdf1f633c11fe0ee9.png
Kwa upande wangu sijaona jipya hapo ni jambo ambalo lilikua linawezekana tangu mwanzo kuacha watu wasome post bila kucoment chochote
IKO KWA AJILI YA KUSOMA TU YALIYOPITA…
Kuhusu kubanduka ama kutobanduka ni shida zako mwnywe
Mimi mwenyewe nashangaa watu wanashangilia nini??
Sawa