JAMIIFORUMS INATIA HURUMA.

Afrika imejaaliwa kuwa na viongozi pamoja na raia waoga sanaaaa

Watashindanana jf lakini hawatashinda

Nadhani wewe ndio hujaelewa!!ni hivi hata hapo mwanzo ni kweli jf wao details zote za mhusika wanazo na wakiamua kuziweka wazi utapatikana tu ila kwa sheria zilizokuwepo hawakuwa wanalazimika kuwapa hizo details polisi na ndio maana kuna kesi hadi leo ipo mahakamani,polisi ina hitaji kupata details za wachangiaji fulani,jf wamegoma hadi leo!!sasa sheria ya sasa inawalazimisha kuzitoa hizo details pindi tu watakapozihitaji na ndio maana wanatakiwa wawe na details za kutosha za wachangiaji!!kama namba za simu ili ukiharibu tu upatikane na ndio shida ipo hapooo!!

Hapana mkuu, natania

Nje ya mada: Vipi umeshajiunga na jukwaa la “wazee” hapa kenyetalk? kama bado muombe moderator @The Tweet akuunge

Wewe ndo hujaelewa point ya mleta mada na nilichokiandika. Mleta mada kaogopa kuingia JF kwa ID yake maarufu so akaingia kama guest na kupata tahamaki bila kugundua kua hata akilogin tahamaki itakuwepo maana hamna cha kukommenti zaidi ya kujisomea na kuchat PM.

So gazeti lako ni moja ya mikurupuko kama sheria kandamizi kwa vyombo vya habari,soma uelewe kuliko kukurupuka.

Eeeenh

Hatimaye umekuja

Ibara ya 18 uhuru wa kutoa maoni,WaTZ waoga sana,Oneni kina Malisa,Mdude na Mtatiro wanavyochana serikali mtandaoni mbona hawakamatwi? Kwanini wewe ukitoa maoni JF ndio ukamatwe? Sio kosa kutoa maoni juu ya serikali yako pasipo kuvunja sheria za nchi.

Kusema kwamba serikalini fedha 1.5T hazijulikni zilipo sio kosa,Kusema kwamba hali ya maisha kwa sasa ni mbaya ukicompare na utawala wa kikwete sio kosa maana ndio ukweli watu wanashinda njaa kitaa.

Kusema kwamba fedha zinazopangwa bungeni kwa matumizi hazitumiki kama ilivyokusudiwa sio kosa ndio ukweli.

https://www.jamiiforums.com/threads/eti-wanaosema-vyuma-vimekaza-wakamatwe.1370767/page-4

Hahahaaaaa

JF imebakia read only pages.

uwe na backup ya kutosha kukuwezesha kwenda kupewa matibabh ya mwisho ubekigiji kama lussu unadhani wao wanaangalia sio kosa au wanaangalia unawachoma kiasi gani?

po tayari kwenda mahabusu na kuhudhuria mahakamani kila uchwao eti uhuru wa maoni?

anonymity nakuambia ni muhimu sana

Uhuru wa kutukana.

JF itarudi ina mimba
Nalog off

Ila tukichangia bila matusi au kukashifiana mbona safi tu…

Vipi kuhusu UKWELI?

Ndio huwanaza sana, zile African Resistances against colonial rule, zama hz tungewezaje?

Nawo muhimu, na ndio ilikuwa sababu ya kukandamizwa @jamiiforum, ukweli ulizidi, wanajifanya hawaupendi, ila hawana jinsi, ni ukweli tu utatukomboa Tanzania na Afrika kwa ujumla, hata watubanie kwa mabavu na sheria…

Haiwezekani ikarudi kama zamani