Je ni kweli kuwa Jf Tanzania mpaka sasa hawajui hatma yao ni nini?

kiufupi ni kwamba tcra wamezuia kila kitu kinachoitwa jamiiforums kwenye mtandao. hata kupost vichekesho kwenye twitter au instagram au hata kuretweet kwa official account zao ni kosa.

Poah sana mkuu kwema