JF iko hewani kamili kamili

Nimeweka Bandiko Langu Limetolewa Mara Moja

Samahani wakuu…nikifungua JF wanaleta ujumbe kuwa “No Forums”
Inakuwaje kwa sisi tuliopo nje ya nchi? Je, wameweka vigezo vipya vya uanachama?

Sawa jirani

Huku tuko salama sana, binafsi siondoki

Nakojoa um um nakojo ummmm nakojoaaaaaaaaaa!

Mie ndiyo nimefika huku Mkuu. Tabia ya jumbe zangu kufutwa au nilichoandika kubadilishwa hadi kupoteza maana ya kile nilichokiandika. Ukimbizini raha Mkuu mie nimeanza kufuatilia taratibu za kuchukua uraia LoL! Hahahahaha.

Na hapo hujamkandi Mr. Stone

Wana wivu kama mwanamke aliyerithiwa baada ya kufiwa na mumewe.hahahahahaha (mambo ya mila potofu) hahahaha

Yote kwa yote mimi na wenzangu tunakushukuru kwa jinsi ulivyotujali.
Vipi ile ID kule JF ya @The Tweet ni yako au mmefananisha majina?

Hahahaaa. Umeonaeeee.

Ila nimecheka lol.

Mie jana nilirudi nyumbani ghafla nikapata dhahama ya BAN eti nimemsifia modetaror wa KENYA TALK hahahahha. Ila sijui tumelogwa na nani sie jamani

hahahaahhahah, walikuwa na hamu ya kulima watu BAN

:D:D:D:Dbaki huku huku

Ni Ya Kwangu Mkuu

Oh! Pole sana ukimbizini bomba sana wanadai WHERE WE DARE TO TALK OPENLY lakini wakati huo huo watu wakifanya hivyo WANANUNA!

Ukirudi hewani chochote utakachoandika kitume kwa MODS kwanza kupitia PM upate APPROVE ili kupata baraka zao na hivyo ujiepushe na BAN nyingine :cool::cool::cool:

Hivi unajua nilishangaa sana kuwashwa BAN eti kisa nimemsifia mods wa kenyatalk. hahahahahahah. Haki ya nani nchi ile imeoza kila nyanja, yani kila mtu kwenye nafasi yake ni kambale!!!

:eek::eek::eek::eek::oops::oops::oops::rolleyes::rolleyes::rolleyes:o_Oo_Oo_O

karibu sie ndo wenyeji wako bak1

utumwa huo, tuendelee na raha zetu huku