JF iko hewani kamili kamili

:cool::cool::cool::cool::cool::cool: Badala ya kuona hiyo ni fursa ya kujifunza ni mambo yepi yamefanya MODS wa KT asifiwe ili nao wayaige wanaona ni negative kwao. Wangeweza kufuta tu lakini hiyo haikutosha na wakaamua kukupiga BAN juu!!! Sijui kama kuna sheria ya kupiga BAN mtu kwa kumsifia MOD wa KT au labda ni sheria mpya ;):wink:

Kwi kwi kwi kwi LoL! Mkuu wewe umejiunga June 14th, 2018 mie nilitua humu siku moja kabla yako. Hivyo karibu sana ukimbizini na mimi ndiye Mwenyekiti Mkazi wa wakimbizi wote wa JamiiForums huku ukimbizini hahahahaha lol!

:p:p:p:p:p

Hahahahaha lol!

Karibu JF

Ahsante sana Demii. Mzima weye?

Sijambo mkuu

Nafurahi kusikia hivyo Demi.

Vipi udukuzi wa β€˜data’ za memba wa jeiefu umesitishwa?

Hakuna mwenye uhakika

Sawa

Yale yale Tz Ff imebanwa tena inaboa