Jukwaa lililotuponza kule JF Original

Weseng***** wamechoma nyumba wanayoiishi tamaa za madaraka bwana.

Ndio uzuri wa teknolojia…kuna yule lofa wa bao la mkono walitaka kumtoa roho huko Twitter, akija hapa namimi naweza kumvurumishia nyanya mbovu.

naona wapo tayari!

Waendelee tu kupambana na teknolojia, tutawadai viwanda walivyotuahidi muda ukifika

Karibu sana mkuu, nafurahi kuwaona mkija na ID zenu za JF kuliko na wale wanaokuja kwa kubadili ID zao

magu oyeeee

:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p:p

hiv hakuna mashehe tumsomee huuyu punda albadir… asanteni sana ndugu zetu wakenya japo hii website nayo inaweza kupigwa loc huku Tanzania

Ataweza kweli hapa?

Walau tupoze machungu ya kufungiwa JF yetu

Daaah
Arosto inapungua

Kweli kabisa

Anaweza kuiblock isipatikate .
Yani huyu jamaa anawatajitisha wakenya.
Kenge kabisa

Mk

Mkuu nafurahi kukuona tena

Na mimi nafurahi kukuona japo umeacha ID yako ya JF

ID za zamani zinavutia bado tunakua hatujapotezana

Hapana mkuu hihi ndio nilikua naitumia

Jamiiforums wangeleta zile mada zote huku

Sawa Mkuu

Hiyo ni mali mdio maana wanafight ili wairejeshe hewani, hawawezi kuzileta huku

Kweli Mkuu