Jukwaa lililotuponza kule JF Original

Wamezingua sana aisee

Hahaha

Oyeee TZ

Unalako wewe ukimchukia magu jua wewe ni shetani

Sio kwa muda, looks like you are here to stay.
Refugees waitwa kwa kiswahili?

Sisi sio refugees(wakimbizi)

Internet Refugees, thats what you are, wakimbizi wa mtandao

Mbwa tu yule.

hahaa ku

[QUOTE=“Ndio walewale, post: 1649859, member: 36017”]
Swali ni je, wangapi watahamia huku ‘‘ofisi ndogo ya chama’’ ?
[/QUOTE
hahaa kumbe huku ni ofis ndogo[/QUOTE]

Huku tunaingia kwa akaunti gani??
Ya kule au humu??

… WAKENYA NI NDUGU ZETU!

… ha haaaa haaaa!.. kwani umeingiaje mkuu?

Wajua hata humu nimo, sasa sijui hata niko kwa akaunti gani yaani Mkuu

Oh, hii ni ya huku huku nimegundua sasa,
Maana ya kule haina Mr.

JF in KENYA :):slight_smile:

Inapendeza sana

First to repply

Kule kwetu unakuaga wa kwanza, huku Ukimbizini naona imekua hola Mkuu:):):slight_smile:

Hahaha

ni shida huku mkuu