Kids....

Neighbor ako na kipi iko class 4… Leo sijui ni ka cheitan kagani ama alikuwa na ji prove kwa age mates ana weza drive…
Ali chukuwa funguo za gari na kuweka reverse… Nikiwa na enjoy game (city na wolves) Nilisikia a bang kutoka nje napatana na gari ndani ya compound na si yangu then na cheki kijana ina toka kwa driver sit na kutoka mbio… Now the issue apa ni ati licence ni 3rd party… Kijana hadi now as we speak ni yeye tuna tafuta…

:D:D:D:D:D
Can imagine ile kichapo inamngojea aki resurface

:D:D shait! ,na wazazi wake wanasemaje?

:D:D:D

:D:D:D:eek::D:D:D:D

Wooiii msikichape mkikipata,lipisha babake gate,chance for you to get a hardy gate n fence coz hiyo inakaa ilikuwa too weak,Sasa ata wezi wamejua hapo hakuna fence

:D:D:D:Dinsurance hulipia ,just don’t mention ni ka monkey kalifanya hivo…

I once attempted this,crashed to wall luckily there was mimimal damage and my interest in driving ended there.

Ako ata sidhani kali chapwa… Ni wale wa kuitwa baba…

Mm izo ni shauri zao… Bora gait yangu na ukuta isimame