Nahitaji kufahamu vigezo vya kukubaliwa ili kuanzisha kiwanda. Wanaofahamu taratibu naombeni msaada…
cherehani nne .machine ya juice au salon ya kunyolea nywele
Kiwanda cha kutengeneza juice ya mtama yani togwa. Ili kupata vibali natakiwa kufanya mini?
Mungu akufanikishe Ndugu aise.
kwanza nenda TFDA wakupe mwongozo maana wao ndo wanavigezo muhimu katika maswala yotu yahusianayo na vyakula, vinywaji na vipodozi
jina lako la pili linataka kufanana na jina laaaaaa
Kama jina LA nani?
@Ocean Jiwe Huyo baba ako mwenye hilo jina lako la pili umeongea nae.
inasemekana cherehani nne ni kiwanda so hauna haja ya kuhangaika sana mkuu.
Mkuu kiwanda unachotaka kuanzisha kuna base wapi vile kila kiwanda kina regulation authority zake.