Ktalk Polling Station

Hebu tuombee kura kumi huko coast afadhali ifike 80…:D:D:D:D

3 Likes

Mimi naonge Kura unaongea Wikipedia. Have you ever done a thesis and used wikipedia as a source… INAKATALIWA MBWAAAYA. My numbers are on record at the IIEBC, these numbers will be used to vote. Some communities have high populations but few registered voters. The population won’t vote, registered voters will!

5 Likes

tuma paybill nilipe ile kitu unakunywa

3 Likes

famalia na extend famaly yangu ni jubilee…shida ni katika polling statiin yangu tulipata 5 votes out of 237

2 Likes

You could try…

1 Like

hakuna maneno mob. RWNBP

Labda mtu wa RWNEP ajifanye kama wale wa Kisii wa kuenda statehouse. Ajifanye neutral and we all pretend to not know they’re on team RWNEP.:D:D:D

  1.  Kiambu. 1,173,593 JUBILEE
    
  2.  Nakuru. 948,668 JUBILEE
    
  3.  Meru. 712,378 JUBILEE
    
  4.  Murang’a. 590,775 JUBILEE
    
  5.  Nyeri. 460,806 JUBILEE
    
  6.  Uasin Gishu. 451,485 JUBILEE
    
  7.  Kericho. 379,815 JUBILEE
    
  8.  Kirinyaga. 351,162 JUBILEE
    
  9.  Nandi. 349,340 JUBILEE
    
  10. Nyandaua. 336,322 JUBILEE
  11. Bomet. 325,606 JUBILEE
  12. Embu. 315,668 JUBILEE
  13. Laikipia. 239,497 JUBILEE
  14. Baringo. 227,918 JUBILEE
  15. Tharaka Nithi. 216,522 JUBILEE
  16. West Pokot. 178,989 JUBILEE
  17. E Marakwet. 178,975 JUBILEE
  18. Kakamega. 746,877 nasa
  19. Machakos. 627,168 NASA 70%/ JUBILEE 30%
  20. Mombasa. 596,485 54% nasa / 42% JUBILEE
  21. Bungoma. 559,897 80% NASA / 19 % JUBILEE
  22. Kisumu. 548,868 nasa
  23. Kilifi. 510,484 48 % JUBILEE / 19 % nasa
  24. Kitui. 477,655 nasa
  25. Kisii. 544,753 nasa
  26. Nyamira. 279,685 nasa
  27. Homa Bay. 476,150 nasa
  28. Siaya. 447,745 nasa
  29. Makueni. 421,180 nasa
  30. Migori. 388,967 NASA
  31. Busia. 347,911 57% NASA / 39% JUBILEE
  32. T Nzoia. 339,832 nasa
  33. Kwale. 282,436 JUBILEE
  34. Vihiga. 267,481 nasa
  35. Taita Taveta. 155,904 54% JUBILEE / 10% nasa
  36. Tana River. 118,189 50% JUBILEE / 19% nasa
  37. Lamu. 70,224 50% both JUBILEE & nasa
  38. Nairobi. 2,304,386 55 % JUBILEE 34 % nasa
  39. Kajiado. 409,266 50% both JUBILEE & nasa
  40. Narok. 347,427 38 % NASA 29% JUBILEE
  41. Turkana. 188,617 nasa
  42. Mandera. 168,478 JUBILEE
  43. Garissa. 132,486 JUBILEE
  44. Wajir. 155,916 JUBILEE
  45. Marsabit. 143,541 JUBILEE
  46. Samburu. 79,477 JUBILEE
  47. Isiolo. 72,548 JUBILEE
    TOTAL 19,687,563
6 Likes

What happened to the judgment? I am fucking tired of waiting!!

2 Likes

Hii story ya wakisii achaneni nayo mboss. Kisiis voted Jubilee at a time when the NASA wave was at its climax in Kisii land. The wave is no more! Plus a good number walijam kufukuzwa Osumo na kuchomewa vi2. NASArites wanajitwika the whole of Omogusii’s votes bila ku-think through. Luhyas also gave JAP a good number of votes before Lusakas promotion. Wait and see…17th fika mbio

4 Likes

Watuambie tudiscuss we accept and move on, 17th ifike tushinde they accept and move on and then we will all be moving on!

1 Like

Niko kwa lintel waiting for results, halafu nianguke pwaa

hehehehe

Sheepoll

:DJigranny niaje?

Waone vile wanajigamba na kura za kuibwa. Wanajua wakiweka free and fair elections vumbi watakula inatosha kujenga ghorofa.

1 Like

Tikteta deorro chilobae, wananchi wanasema umeingia kwa server uka rig hii kitu,confirm or deny

2 Likes

Don’t expect it to have anything earth shattering.

1 Like

I am very apprehensive …

niaje trix, still waiting for you uconfirm baba ya shebesh