Kuchomewa Picha!

Shida ni Anto, hakuna kitu mbaya kama mwanaume ako na watoto kuenda kutomba maliar. Maliar??? Kisha uletee bibi ukimwi. Ata heri ingekua ni MWK, kitu swafi kuliko bibi lakini maliar? Vitu zingine mtu huacha akiwa bachelor, ukioa unajibeba na heshma flani sio kukula kitu ata chokosh anaeza kula, UMEFFI

I have tried to be as brief as possible, and be as discrete as I can to avoid kuanika anto, ni story inatembea esto.

Story yote ni mrefu na nikama movie I tell you. Hizo pictures hazikutoka kwa simu ya anto. That I can confirm… Hiyo ya mpesa ndio watu wamekaa chini kupiga hesabu how it was done.

30k in one night in a backstreet ? Acha niitwe peasant ama miser. Huu ni upumbavu. Definitely, the screenshots have been taken by the wife herself, mbisha sijui.

Screenshots za simu alichukua aje?

basi Fredi achunguzwe. no other way. Kuna wanaume wana umama huku nje.

Fredi alikuwa kwa picha karibu zote. There was a third element taking those pics.

I like the way ukisema a backstreet club, kila mtu anafikiria Luthuli ama Riveroad. The power of collective thinking is unimaginable.

A hack job?

kama imefika hapo wacha tungojee wataalamu watueleze

The major problem here is not even the pics…waweza jitetea na ulevi.
Shida ni screen shots!

You can also look at it this way:-
[ol]
[li]Anto na Fredi waliingia club obviously usiku hawaoni kila mtu[/li][li]Kwa kona kuna owner wa salon ya mtaa, kamathe kanajua anto na Fredi and the wife she has taken out her Ben10 or is on a date with sponsor[/li][li]Anto does not see her, his eye is on the booty and alcohol[/li][li]The lady texts Anto’s wife ameona huzzy the wife says jockingly keep an eye on him for me , expecting nothing major[/li][li]12.23 AM the salon owner texts wifey and tells her mzee amejishikia kamtu[/li][li]Wifey texts back hebu send me her pictures, do I know her? Ni yule Mary mkamba?[/li][li]Salon owner obliges[/li][li]Wifey is furious[/li][li]Waits for her hyena to come back home and blackout with his socks on[/li][li]she takes his phone to gather more evidence, kuchukua namba ya maliar pia. [/li][li]Takes screenshots for future reference[/li][li]Boom Anto is fixed[/li][/ol]

Hihihihihi this is why mimi husema you do not know how stupid you sound when you apply deny deny deny nonsense

always always always keep ur eyes open ukiwa club.never drink to loose ur memory juu ya malaya

hahaha.mwanamme vile umesikia ni kuruka .national sport.

@anum fumbua hii maneno.

Same here. Picha zitatumaliza

but we still deny anyways!

most men should marry blondes…tsk tsk but they end up marrying brains na kujiletea shida
Wacha bibi apumue huko nje mtu kutumia pesa kama hizo on a call girl…na kukuletea uchafu brings a lot of bitterness to the wife

Hii kupenda kukula malaya na kuletea bibi kisonono ndio mtaacha Anto has learnt his lesson

Imagine, 1,2,3 - mpaka 30, Thousand!! Just on a whore and alcohol? Alafu you deny!!! Wacha mtu alipie thambi zake

tsk tsk tsk…so he just postponed. atleast huku njeribootiez akirushiwa kitu kwa mpesa koo humwwasha immediately ana bleki by 5 PM kando ya pretty yang things wake :smiley: