Katika pilka pilka za kunukisha kitunguu nikaona boda boda ikidrop a female passenger dangerously on the edge of a major road.
Upon closer observation of the nduthi…[ATTACH=full]184261[/ATTACH][ATTACH=full]184262[/ATTACH]
Kujia rivets Buda.
Hehe
:D:D
Ulikua umetoka kariobangi kufanya??
Akikuja na wewe ukujie rivetting gun kwa bei ya asubuhi
Sawa Makanika, wacha nifanye car identity kwanza. Hata nyororo tutaweka
Kitunguu Sir, kitunguu…
Haikosi hio ni nduthi ya talker